Kwa anehitaj defender 1lipo erickkiwia90@gmail.com darHabari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
hela ngapi asee
22mhela ngapi asee
Itakua hivyo ila ndio fasheni siku hizi.Hata hardtop nazo zina kuja kwa kasi tena.Wamegundua hilo sasa hivi?
Naitaka ingia pm tufanye biashara.
My dream car, been on the wheels for some time with shangingi ila hii ndo napanga kununua ina roho ngumu balaaHabari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
hv haya mawaya (kama elia )hua yana kazi gani??Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
Dar Ila kwa kampun hii imetengeneza gari zuri Ila tatizo body ykeHizo gari nazipenda ile mbaya. Nami nasaka mavumba nipate Londo yangu ya kutakata.
Jamaa wamesitisha uzalishaji. Tembelea hapa utaona:Itakua hivyo ila ndio fasheni siku hizi.Hata hardtop nazo zina kuja kwa kasi tena.