Nini kimeamsha Defender?

Nini kimeamsha Defender?

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,042
Reaction score
2,221
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
 
Attachments

  • 11406956_10153374165774100_2056114538298304716_n.jpg
    11406956_10153374165774100_2056114538298304716_n.jpg
    74.4 KB · Views: 174
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
Kwa anehitaj defender 1lipo erickkiwia90@gmail.com dar
1466029487628.jpg
1466029540175.jpg
 
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
My dream car, been on the wheels for some time with shangingi ila hii ndo napanga kununua ina roho ngumu balaa
 
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru sasa wamehamia kwa Landies,bei sasa hazishikiki,nini siri?zamani walikuwa hawazioni?sio rahisi kukuta zimepaki mitaani zikiwa mbovu kwa sasa.
hv haya mawaya (kama elia )hua yana kazi gani??
 
Hizo gari nazipenda ile mbaya. Nami nasaka mavumba nipate Londo yangu ya kutakata.
 
Utamu wa Land lover, Bush zake zote unachonga kwa mafundi , spear zake kuna mpaka za 1000, alafu lina fanana na hammer...raha tupu
 
Dah cruiser hardtop,ford ranger,amarok,navara asee ngoja nipate hela sijui ntaanza na ipi.
 
Back
Top Bottom