Nini kimefanya beer aina ya Heinken na Windhoek kupotea kabisa sokoni?

Nini kimefanya beer aina ya Heinken na Windhoek kupotea kabisa sokoni?

Tatizo hawataki kuboresha kiwa na viwango bora. Beer zetu zinachosha na ukinywa mara kadhaa mtu anapata Hangover kali na maumiv ya kichwa
Daa poleni sana, halafu kuna wataalamu kibao waliomaliza vyuo wanashindwa kutengeneza beer nzuri

Huku ulaya vijana wanatengeneza beer tena kwenye garage za wazazi wao ( ni kama store katika nyumba zao)
Na wamefyatua kitu balaa na inauzika kimataifa
 
Back
Top Bottom