mrubwavwasy
Senior Member
- Apr 14, 2021
- 138
- 229
Nmekuwa mpenzi na shabiki wa Mtibwa miaka 4 iliyopita, Enzi za akina Mzamiru, Mtibwa inapiga soka safi na pia kuibua vipaji bora kabisa.
Ila nmefuatilia takriban mechi 10 zilizopita, Mtibwa si ile nnayoifahamu, wachezaji hawajitumi na pia wengi siyo type ya Mtibwa nnayoifahamu, wanacheza kama timu ya daraja la kwanza.
Kwa hichi kiwango wanachoonyesha nasikitika kusema kuwa Mtibwa bye bye ligi kuu!