Nini kimeikumba Mtibwa Sugar!

Nini kimeikumba Mtibwa Sugar!

Nmekuwa mpenzi na shabiki wa Mtibwa miaka 4 iliyopita, Enzi za akina Mzamiru, Mtibwa inapiga soka safi na pia kuibua vipaji bora kabisa.

Ila nmefuatilia takriban mechi 10 zilizopita, Mtibwa si ile nnayoifahamu, wachezaji hawajitumi na pia wengi siyo type ya Mtibwa nnayoifahamu, wanacheza kama timu ya daraja la kwanza.

Kwa hichi kiwango wanachoonyesha nasikitika kusema kuwa Mtibwa bye bye ligi kuu!
Wacha nongwa wewe huwezi pima ubora wa mtibwa kwa simba buana
 
Timu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"
 
Yanga siyo timu ni mkusanyiko wa watu wanaocheza mpira na wakifika uwanjani kila mtu anacheza anavyojua yeye.
 
Tutaendelea kupiga mabomu mochwari hadi mwezi mei wote.Naona mochwari moja iko juu ya msimamo kwa sasa ila hawana furaha kabisa na baridi ya mochwari
Upande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
 
Back
Top Bottom