mrubwavwasy
Senior Member
- Apr 14, 2021
- 138
- 229
Na hilo bomu limewasogeza pale juu. Tunasubiri bomu lingine tupige mochware tukae kabisa kwenye baridiUpande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
Lengo ni kuua, ujifiche mochwari au kidimbwini wewe unarushiwa bomu tu uuawe. Halafu maiti mtibwa aliuawa kamoja tu na utopolo pale kwa mkapa , hapo ndio ujue utopolo nayo ni maiti inayotembea.Upande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
Tunasubiri na nyinyi muwapige bomu Biashara United[emoji3].Upande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
Kwan utopolo ktk mechi yao ya mwisho na Mtibwa walishinda ngap? UNATESEKA WWUpande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
Yeah,Na hilo bomu limewasogeza pale juu. Tunasubiri bomu lingine tupige mochware tukae kabisa kwenye baridi
Timu nzima inasajili wazanzibar , wazanzibar wanapata wapi uwezo wa kucheza ligi ngumu kama VPL, ni wa kubahatisha sana sasa wao mtibwa kikosi kizima. Huwezi kuwa na timu imara kwa kusajili wala urojo.Nmekuwa mpenzi na shabiki wa Mtibwa miaka 4 iliyopita, Enzi za akina Mzamiru, Mtibwa inapiga soka safi na pia kuibua vipaji bora kabisa.
Ila nmefuatilia takriban mechi 10 zilizopita, Mtibwa si ile nnayoifahamu, wachezaji hawajitumi na pia wengi siyo type ya Mtibwa nnayoifahamu, wanacheza kama timu ya daraja la kwanza.
Kwa hichi kiwango wanachoonyesha nasikitika kusema kuwa Mtibwa bye bye ligi kuu!
Huyo scout wa mtibwa anayescout wachezaji wa futi mbili sijui wanamlipa Shillingi ngapi ?bora ishuke daraja maana imekuwa ndio inaharibu soka la tanzania Kwa kutuletea wachezaji wengi wafupi vindurutu kazi kuwapiga misumari wenzao. tunataka wachezaji wenye malengo ya mbali sio kutamani simba na yanga tuu
Type za kina Kibwana, Kichuya, Aisee! Nilimcheki Hassan Kessy Jana alivyopewa mwili na Chama, dah!Huyo scout wa mtibwa anayescout wachezaji wa futi mbili sijui wanamlipa Shillingi ngapi ?
Hao wachezaji futi mbili mtibwa wanatoa wapi ?
May 8 2021 ndio tunapiga bomu makaburini kabisa.... Yaani kuna mtu anakula 9. Tunza hii comment.Upande wa 2 wamepiga BOMU mochwari, wanajisifu wameua[emoji42][emoji42]
Maneno hata kwenye Kanga yapo yan!May 8 2021 ndio tunapiga bomu makaburini kabisa.... Yaani kuna mtu anakula 9. Tunza hii comment.