Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.