Nini kimeikumba Sinza, siku zote ilikuwa weekend?

Nini kimeikumba Sinza, siku zote ilikuwa weekend?

Mtukufu,mtakatifu raisi"Kunawatu wameficha fedha ndomana pesa haionekani kenye mzunguko"
TRA"Kila mwezi tunavuka lengo la ukusanyaji mapato"
Bandari- kweli importation imeshuka kwa kiwango kikubwa
BOT-uchumi umedorora

Hapa tumwamini nani??
 
Waache watu wafanye kazi kwanza mpaka raha km China vile muda wa kazi watu wapo busy hii ndio Tz tuitakayo
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
Tatizo letu kubwa ni kusahau TULIPOJIKWAA na kukumbuka TULIPOANGUKIA!
Mapepo ya ufisadi yanapoondoka humuacha mhanga akiwa taabani! Tuwe na subira dawa iingie!
.........Lakini na nyie wauguzi hebu ongezeni drip ya lishe na dawa ya kukata maumivu kidogo! 😀😀😀😀😀😀😀😀!
Umefikiria mbaliiiiiiii
Siku zote ilikua bata kisa kuna watu wanapiga hela kwa sekunde
 
Siku hizi hata wenye maduka mitaani tunafunga mapema saa 3 ni kama saa 6 hakuna wateja kabisa,hata wazururaji wamepungua.
 
It is a fact that the economic condition is not good and citizens should be aware of it!!..
 
Namba zinasomeka 666!!!!!!
Mashetani wameanza kuishi km masikini na masikini sasa wanakula bata
 
Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Soon mambo yatakuwa sawa mkuu. Bado nna imani. Uongozi n mpya ivo taratbu mpya na kujarbu kukopi na uongoZ. myb next financial year mambo yatakua mazur zaid
 
Saafi lkn,watu walizidi mtu mmoja unaagiza heinekein 10 at once na anakunywa nusunusu!! Acha tu nyooke kidogo ili heshima irudi mjini
 
Back
Top Bottom