Lamkyeku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 494
- 663
Hahahahaha nilitaka kujitoa mhanga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Haa! Wewe ndio yule aliyekuwa amekaa pale chini ya Transfoma? Utapigwa shoti... 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha nilitaka kujitoa mhanga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Haa! Wewe ndio yule aliyekuwa amekaa pale chini ya Transfoma? Utapigwa shoti... 😀😀😀
Kwetu Pazuri Lounge [emoji39][emoji39][emoji39]Kwetu pazuri inakarabatiwa
Na bado..SIJALA BATA KITAMBO SANA
Kwetu Pazuri sasa hivi vichwa vinawauma.. Cjui qatamfunikaje The Great Park...Kwetu pazuri inakarabatiwa
Tusubir dawa iingie kwanza.Sasa unamlalamikia nani?? Kama watu hawakujipanga na mabadiliko lazima watasombwa..
Huwezi kuishi kwa kutegemea siku zitafanana..
Hii ndio Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.. Nchi yenye watu wenye nidhamu.
Umefikiria mbaliiiiiiiiTatizo letu kubwa ni kusahau TULIPOJIKWAA na kukumbuka TULIPOANGUKIA!
Mapepo ya ufisadi yanapoondoka humuacha mhanga akiwa taabani! Tuwe na subira dawa iingie!
.........Lakini na nyie wauguzi hebu ongezeni drip ya lishe na dawa ya kukata maumivu kidogo! 😀😀😀😀😀😀😀😀!
Soon mambo yatakuwa sawa mkuu. Bado nna imani. Uongozi n mpya ivo taratbu mpya na kujarbu kukopi na uongoZ. myb next financial year mambo yatakua mazur zaidAcheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria