Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Kielelezo cha maisha ya kishetani wanayoanza kuishi watanzania, sio matajiri tu hata walala hoi pia!
Hata hapa The Great Park, Tabata leo pako kimyaaa! Watu wachache sana leo...wamehamia huku Tabata😛
Taratibu mkuu, punguza hasira mkuu!Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tararibu mkuu, punguza hasira mkuu!
Thibitisha kua hali ni mbaya na ni mbaya kwa kweli.Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Labda leo ni siku ya kazi[emoji2] mi mwenyewe niko hapaHata hapa The Great Park, Tabata leo pako kimyaaa! Watu wachache sana leo...
Nipo hapa pia, ila naamini kunzia SAA sita watu wataongezekaLabda leo ni siku ya kazi[emoji2] mi mwenyewe niko hapa
Ok mi nimeondoka mda huu!Nipo hapa pia, ila naamini kunzia SAA sita watu wataongezeka
Sasa unamlalamikia nani?? Kama watu hawakujipanga na mabadiliko lazima watasombwa..Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria