Tutaibariki kama ALTA wine😅 usiogope itapigwa upako ili ikatende maajabuKuniletea ni jambo moja
Mimi kunywa ni jambo jingine[emoji1787]
Smirn off haina uchungu ni kama juis ya nanasi tu😎Yatakuwa yaleyalee
Vitu vichungu mimi siviwezi
IlishashindikanaHatujakutatia tamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliniambia Amarula ipo kama maziwa tu.Smirn off haina uchungu ni kama juis ya nanasi tu[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutaibariki kama ALTA wine[emoji28] usiogope itapigwa upako ili ikatende maajabu
Hahahahaha ni chungu ile kwani?Waliniambia Amarula ipo kama maziwa tu.
Nilichokutana nacho sikuamini.
Hiyo banana si ndo inachinja watu!Utapigwa double kick au banana lager ili uache usumbufu[emoji28]
Banana ina ladha ya ndizi😂 chupa moja lazma uzimeHiyo banana si ndo inachinja watu!
Kwani ni tamu??Hahahahaha ni chungu ile kwani?
Hiyo sitakiBanana ina ladha ya ndizi[emoji23] chupa moja lazma uzime
Hamna bia ambayo sio tamu uchungu ni ulimi wako tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwa tamu nitakunywa.
Unanitisha mapema hivi[emoji2296]Tutamchanganyia makarateka hataamini! wallahi ntamuwekea drip ya pombe huyu
Hahahahah i can sense a “virgin Tongue “😅😅😅Kwani ni tamu??
Msije mkawa mnasema vitu ni vitamu lakini kumbe vichungu kama muarobaini.
Makarateka manaake ni cocktail😂 usiogopeUnanitisha mapema hivi[emoji2296]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna bia ambayo sio tamu uchungu ni ulimi wako tu!
Chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makarateka manaake ni cocktail[emoji23] usiogope
Ngoja tuoneHahahahah i can sense a “virgin Tongue “[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkemia😂😂😂😂UPDATE:
Sasa Serengeti wanazitengeneza locally kwenye kiwanda chao Moshi. Ni tamu zaidi, ina asilimia 6 badala ya 7 iliyokuwa kwenye original na packaging mpya.
View attachment 2579201
View attachment 2579202
View attachment 2579203