Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Peroni ipo wapi bia tamu [emoji39][emoji39]
C360_2014-05-15-21-27-13-817.jpg
 
UPDATE:

Sasa Serengeti wanazitengeneza locally kwenye kiwanda chao Moshi. Ni tamu zaidi, ina asilimia 6 badala ya 7 iliyokuwa kwenye original na packaging mpya.

IMG_0345.jpg

IMG_0344.jpg

IMG_0343.jpg
 
Back
Top Bottom