Don't compare your life with others, Do what you thought you can, the remains others will do. Period.Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
Tulia wewee mgerasi acha porojo jamvini fanya kazi na ujikite kwenye madaDon't compare your life with others, Do what you thought you can, the remains others will do. Period.
Wap uliipigaMimi sio mlevi ila hii kitu naitumia karibu kila siku nimeipiga jana tu tena bar ya kawaida kabisa
Ndomaaana nikasema substitute, na sio unapata yenyewe kabsa kamainavyo kuaga/radhaYa kuchanganya mkuu haiji as perfect.
Utazidisha limao, au kvant, au barafu. Hupati ile perfect solution.
unaehuka karibuni. Ninafanya kazi tangu saa 11 alfajiri na kulala saa 5 usiku. Lakini in between a glass of wine is a must. Usitukane watu eti mambo ya kijinga. Kupanga ni kuchagua, mradi usivunje sheria.Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
Enlighten me mkuuUkisoma the godfather cha mario puzzo utaelewa hii michezo
Anakunywa nini sasa baada ya kuadimika hikiMy ex used to drink this Liquor
Mkuu naona umeamua kunijudge kwa post moja tu.Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
Nilikuwa nanunua kreti kabisa wholesale. Sahizi haipo.Ukipata weka nyingi ndan
Dah imeingiza mkono mpaka kwenye starehe zetu...Bidhaa nyingi kutoka kenya zimeadkmika sana sababu serikali imeweka sheria mpya za mabadiliko ya kodi kwa hawa wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa nchini hivyo wengi wamekimbia
Jamaa anabeba boksi huko Scandinavian...Maisha siyo kazi tu naona umekalili kuwa maisha ni kazi tu kuna vitu vingine nje baada ya kazi
mungu mwenyewe kipindi cha uumbaji aliumba dunia siku sita ila siku ya saba akapumzika je unajua alipopumzika alikuwa anatumia nini totoz, bwax, au alilala tu ujui
Kazi na bata, wewe kama umeamua kufanya kazi masaa 24 komaa tu acha wengine wajadili vitu vingine
Ujuaji mwingi ujui je kama mleta mada ni afisa masoko wa smine off yupo kukipa promo kinywaji chake uoni anafanya kazi
Acheni kujifanya mnaakili sana kuzidi wengine
ni kinywaji cha kike.Mimi natumia bapaHii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS
Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water. Foamless (haina povu). Hangover-less. Simply perfect.
Hiki kinywaji hakina mpinzani. There is nothing like it. Ukiiulizia ukaikosa, there is no suitable alternative. Tumechangia sana pato la taifa kupitia hii kitu.
In the recent months za 2019, kinywaji hiki kimeadimika sokoni. Wauzaji wa liquor wanasema Smirnoff Ice imeadimika. Hata viwanja vikubwa havina hiki kiburudisho. Sio dar, sio mikoani. Ila ukivuka borders, kinapatikana vizuri tu East Africa. Juzi tu nilikuwa Kiyunga, Luuka - Uganda ndani ndani huko ambapo watu wanaongea Luganda na Busoga tu. Kiingereza mtiti. Local pubs. Ila hii kitu niliipata bila kusahau Uganda Waragi.
Cha kushangaza, hiki ni kinywaji with a very loyal following. It is truly reverred by many. Ukiniambia demand ni ndogo, napata shida kuamini
I humbly request for any info regarding this refreshment. Leo nimekitafuta nimekikosa. Labda nikijua kilichoikumba I, and many like myself, will get closure.
Ndio wewe wa kwanza kusema ikapatikana. Mitaa ipi mkuu? Au stock yao haijaisha, ikiisha ndio basi.Mimi sio mlevi ila hii kitu naitumia karibu kila siku nimeipiga jana tu tena bar ya kawaida kabisa
Mwambie jamaa aje huku kijijini kwetu Mchambawima nimmiminie kidogo. Mimi kabla hazijaadimika nilinunua dumu zimaWasubiri watakuja, mimi nakunywaga Lubisi tuu mzee
Walikuwa wanatuletea hio Black Ice.View attachment 1184217
Smirnoff ice imeadimika baadhi ya sehemu, na kwingine wanayo ile vodka ( ipo kama k vant...
Ice itabaki kuwa the best
Na bei yake ilikuwa even less than Savanna. Sielewi ilikwama wapiMimi mwenyewe nashangaa kwanini haipatikani. Yani sometimes hata kwenye pubs kubwa na zamaana.
Watu tuisopenda vilevi vichungu. Smine off black ice
Jamaa kashangaza sana aiseeunaehuka karibuni. Ninafanya kazi tangu saa 11 alfajiri na kulala saa 5 usiku. Lakini in between a glass of wine is a must. Usitukane watu eti mambo ya kijinga. Kupanga ni kuchagua, mradi usivunje sheria.
Mi sinywi sijuiNilikuwa nanunua kreti kabisa wholesale. Sahizi haipo.
Ila za kunywa ndani hazinogi dada, si unajua....
Hata mimi natumia bapa mkuu.ni kinywaji cha kike.Mimi natumia bapa