Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo
Fanyeni kazi aiseee
unaehuka karibuni. Ninafanya kazi tangu saa 11 alfajiri na kulala saa 5 usiku. Lakini in between a glass of wine is a must. Usitukane watu eti mambo ya kijinga. Kupanga ni kuchagua, mradi usivunje sheria.
 
Bidhaa nyingi kutoka kenya zimeadkmika sana sababu serikali imeweka sheria mpya za mabadiliko ya kodi kwa hawa wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa nchini hivyo wengi wamekimbia
Dah imeingiza mkono mpaka kwenye starehe zetu...
 
Maisha siyo kazi tu naona umekalili kuwa maisha ni kazi tu kuna vitu vingine nje baada ya kazi

mungu mwenyewe kipindi cha uumbaji aliumba dunia siku sita ila siku ya saba akapumzika je unajua alipopumzika alikuwa anatumia nini totoz, bwax, au alilala tu ujui

Kazi na bata, wewe kama umeamua kufanya kazi masaa 24 komaa tu acha wengine wajadili vitu vingine


Ujuaji mwingi ujui je kama mleta mada ni afisa masoko wa smine off yupo kukipa promo kinywaji chake uoni anafanya kazi

Acheni kujifanya mnaakili sana kuzidi wengine
Jamaa anabeba boksi huko Scandinavian...

Anatuona tuliobaki bongo wote wapuuzi tu.
 
Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS

Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water. Foamless (haina povu). Hangover-less. Simply perfect.

Hiki kinywaji hakina mpinzani. There is nothing like it. Ukiiulizia ukaikosa, there is no suitable alternative. Tumechangia sana pato la taifa kupitia hii kitu.

In the recent months za 2019, kinywaji hiki kimeadimika sokoni. Wauzaji wa liquor wanasema Smirnoff Ice imeadimika. Hata viwanja vikubwa havina hiki kiburudisho. Sio dar, sio mikoani. Ila ukivuka borders, kinapatikana vizuri tu East Africa. Juzi tu nilikuwa Kiyunga, Luuka - Uganda ndani ndani huko ambapo watu wanaongea Luganda na Busoga tu. Kiingereza mtiti. Local pubs. Ila hii kitu niliipata bila kusahau Uganda Waragi.

Cha kushangaza, hiki ni kinywaji with a very loyal following. It is truly reverred by many. Ukiniambia demand ni ndogo, napata shida kuamini

I humbly request for any info regarding this refreshment. Leo nimekitafuta nimekikosa. Labda nikijua kilichoikumba I, and many like myself, will get closure.
ni kinywaji cha kike.Mimi natumia bapa
 
View attachment 1184217
Smirnoff ice imeadimika baadhi ya sehemu, na kwingine wanayo ile vodka ( ipo kama k vant...
Ice itabaki kuwa the best
Walikuwa wanatuletea hio Black Ice.

Sahizi madukani imebaki Smirnoff X1 tu na ile vodka
smirnoff-smirnoff-ice-triple-black.png
 
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini haipatikani. Yani sometimes hata kwenye pubs kubwa na zamaana.

Watu tuisopenda vilevi vichungu. Smine off black ice
Na bei yake ilikuwa even less than Savanna. Sielewi ilikwama wapi
 
unaehuka karibuni. Ninafanya kazi tangu saa 11 alfajiri na kulala saa 5 usiku. Lakini in between a glass of wine is a must. Usitukane watu eti mambo ya kijinga. Kupanga ni kuchagua, mradi usivunje sheria.
Jamaa kashangaza sana aisee
 
Back
Top Bottom