Nini kimeiua Tips Lounge?

Tips ipo kwenye makazi ya watu na wenye hela so wamepigwa pini mziki mwisho sa sita tu. Same story na Boardroom, tena pale pamefungwa kabisa

Tips ilipokuwepo ile mitaa.. nilikuwa nashangaa sana kama majirani hawalalamiki
 

Woodland moshi au. Vp sahv hapaamshi tena? Nakumbuka december tulikuwa hapo palikuwa pamoto sanaaa
 
Woodland moshi au. Vp sahv hapaamshi tena? Nakumbuka december tulikuwa hapo palikuwa pamoto sanaaa
Ndio Moshi. Sahivi hakuna kitu pale yani ukienda mnajikuta mpo wateja kama 10-15 ,nimeenda juzi saa tano hakuna watu ikabidi saa saba nihamie Red napo hakuna watu kama zamani na umeme ukakatika[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walevi wanapenda viwanja vipya

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe umeleta jibu.
Hata izo bar kama unatembea na walevi hamkai sehemu moja.
Kuna walevi unatoka nao Samaki samaki mnahamia juliana mnahamia Governors mkitoka hapo mnaenda Tips

ukitaka biashara itulie nahisi ifanye iwe na loyal customers au fanya iwe Restaurant yakishua tu maana hizo hazifi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…