Tips ipo kwenye makazi ya watu na wenye hela so wamepigwa pini mziki mwisho sa sita tu. Same story na Boardroom, tena pale pamefungwa kabisa
Tips ilipokuwepo ile mitaa.. nilikuwa nashangaa sana kama majirani hawalalamiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tips ipo kwenye makazi ya watu na wenye hela so wamepigwa pini mziki mwisho sa sita tu. Same story na Boardroom, tena pale pamefungwa kabisa
Kidimbwi imeuwa club nyingi mjini
na kidimbwi bado ya motoMwenye tips ndie mwenye kidimbwi
Unawezakuwa sahihi. Kuna chimbo walinipeleka rafiki zangu panaitwa woodland ilikua miezi 3 iliyopita, hiyo sehemu ilikua hot vibaya mno ila sasa tumerudi juzi pamepwaya, wateja tulikuwa kama watano tu na ni saa saba usiku
Yani kwa kifupi ku maintain status ya biashara ni jambo zito mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Moshi. Sahivi hakuna kitu pale yani ukienda mnajikuta mpo wateja kama 10-15 ,nimeenda juzi saa tano hakuna watu ikabidi saa saba nihamie Red napo hakuna watu kama zamani na umeme ukakatika[emoji23]Woodland moshi au. Vp sahv hapaamshi tena? Nakumbuka december tulikuwa hapo palikuwa pamoto sanaaa
Wala Bata Ni wachache hapa mjini so wanagombaniwa na sehemu kibao.Watanzania wengi sio Loyal customers.
Wanahama kwa upepo.
Wewe umeleta jibu.
Nilipita hapo 2017 mbona ni kawaida sana.
Yah ni pa kawaida ila kuna wakati palikuwa panajaza sana watu lakini sahivi hakuna watuNilipita hapo 2017 mbona ni kawaida sana.
Naam Kesho Kutwa ntakuwa pale karibu sana, savanna 15 juu yanguDance club ndo iko pale mwenge kabla ya ile hospital ya jeshi ukiwa unatokea ubungo mkono wa kushoto??
Usiku Ina mataa taa mengi?
Katie's kammalizaKwetu pazuri imekuwa ya kawaida mno ingawa bado ipo lakini haina amsha amsha
Hiyo hiyo............Dance club ndo iko pale mwenge kabla ya ile hospital ya jeshi ukiwa unatokea ubungo mkono wa kushoto??
Usiku Ina mataa taa mengi?
Umesahau "MAWASILIANO PARK" panabamba sana siku hiziVIWANJA BORA VYA IJUMAA NA WEEKEND
KIDIMBWI
SMALL PLANET
JULIANA
SAMAKI SAMAKI
KITAMBAA CHEUPE
LIQUID
WIMOL
ELEMENT
NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoppers ya mikocheni pembeni.
Kuna kimoja kipo Malamba Mawili kinaitwa KIBOZONE wapo vizuri sana ,Na jiko limechangamka hatari sana.VIWANJA BORA VYA IJUMAA NA WEEKEND
KIDIMBWI
SMALL PLANET
JULIANA
SAMAKI SAMAKI
KITAMBAA CHEUPE
LIQUID
WIMOL
ELEMENT
NK
Sent using Jamii Forums mobile app