Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

Sasa we ulitegemea mtoto wa Shule ataelewa kitu kweli? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii kitu ni kwa wahitimu Mtoto wa Shule
Ebu rudia kusoma kilichoandikwa halafu uniambie kama na wewe umeelewa. Mfano, umeelewa nini kwenye maelezo ya Dk. Salim kuwa Naibu Waziri Mkuu. Umeelewa nini hapo?
 
Ebu rudia kusoma kilichoandikwa halafu uniambie kama na wewe umeelewa. Mfano, umeelewa nini kwenye maelezo ya Dk. Salim kuwa Naibu Waziri Mkuu. Umeelewa nini hapo?
Ndiyo Dr salimu aliwahi kuwa Naibu waziri mkuuwaziri Mkuu au we hujui hilo
 
Ebu rudia kusoma kilichoandikwa halafu uniambie kama na wewe umeelewa. Mfano, umeelewa nini kwenye maelezo ya Dk. Salim kuwa Naibu Waziri Mkuu. Umeelewa nini hapo?
Ok ngoja niende pole pole ili unielewe Mwaka 1985 October Rais wa Jamhuri ya Muungano Mwl J.K.Nyerere Alitangaza kung'atuka na kuachia nchi....

Kipindi hicho Ali hassani Mwinyi alikuwa amechaguliwa kuwa Rais wa Tatu wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

Kitendo cha Mwinyi kuwa Rais wa zanzibar kilimpa Cheo kikatiba kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba kabla ya marekebisho (Kipindi hicho katika ikiwa ni ya chama kimoja)

Baada ya Nyerere kung'atuka Mwinyi alichaguliwa kuchukua nafasi ya Urais wa Tanzania na kuachia Nafasi aliyokuwa nayo ya Urais wa zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na Mh Idris Abdul Wakil ambaye ndo alikuwa Rais wa 3 wa zanzibar.....

Tuanze na hapo mkuu sijui umenielewa???
 
Maybe mama ameona anahitaji kasauti ka Kanda ya Ziwa kidogo ili Serikali iwe na uchangamfu. Dotto Biteko please Simamia kazi, fokea kila mtu, ukikuta kazi imekorogeka mahali popote, ng'ooka na pimbi, mama akichukia basi akutoe, ili tujue kama anataka na wewe ukatulie.
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Anachukua uzoefu soon mama atampandisha kuwa Pm na kuvunja baraza la mawaziri.
 
Kwa wale waliobahatika kusoma hiki kitabu Watakuwa wameelewa zaidi nilichoandika

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…