Nini Kimejiri baada ya siku saba kupita bila Gardner kuomba msamaha?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Binti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.

Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.
 
Ww ulimsikia wapi akisema hivyo dume zima
 
Jay dee nae ifike mahali anyamaze aendelee na mambo mengine, kwani mkojozaji ni huyo peke ake???
Hata mi namshangaa sana, nadhan hil jambo linaweza kuathil biashara zake (music), mana kuna watu wengi wanamtetea G, na nadhan ndo mana hajaomba huo msamaha..!!

Kweli ifike Mahali ......
 
Binti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.

Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.
Ninachofahamu tayari Binti Machozi ame-engage kampuni ya Law Associates ambao wameanza kushughulikia hili jambo. Kulikuwa na taarifa kwamba juzi Jumatatu angetoa taarifa rasmi..sijajua kama Jumatatu alizungumza au la
 
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa kila mtu anaandaa mashambulizi,ila jide anasubiri shoo yake ipite kwanza, kama ni muvi basi dj ndio anaunganisha mitambo.
 
Jay dee nae ifike mahali anyamaze aendelee na mambo mengine, kwani mkojozaji ni huyo peke ake???
Kumbe maneno machafu ya G ni yalitokana na maneno flani toka kwa jD, au unamaanisha nini hapo juu?
Hata mi namshangaa sana, nadhan hil jambo linaweza kuathil biashara zake (music), mana kuna watu wengi wanamtetea G, na nadhan ndo mana hajaomba huo msamaha..!!

Kweli ifike Mahali ......
 
Binti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.

Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.
Huyu ndindindi asipo omba msamaha tutamndindindi
 
Jaydee ni aina ya madem wanaokurunziza yaani mnaachana lakini kila siku anakuandama kwa maneno na kukufuatilia. Nimewahi kukutana na wawili dizaini hiyo yaani kila siku unasikia story mtaani mara haumalizi hadi utekenywe masikio, mara una kibamia, mara huwezi mchezo n.k. Halafu akihisi kuna mtu unamfukuzia anaenda kumchimba mkwara. Nilipata tabu sana hadi alipohama ndio ikawa nafuu yangu.
 
Back
Top Bottom