Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ulimsikia wapi akisema hivyo dume zimaBinti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.
Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.
Hata mi namshangaa sana, nadhan hil jambo linaweza kuathil biashara zake (music), mana kuna watu wengi wanamtetea G, na nadhan ndo mana hajaomba huo msamaha..!!Jay dee nae ifike mahali anyamaze aendelee na mambo mengine, kwani mkojozaji ni huyo peke ake???
Ninachofahamu tayari Binti Machozi ame-engage kampuni ya Law Associates ambao wameanza kushughulikia hili jambo. Kulikuwa na taarifa kwamba juzi Jumatatu angetoa taarifa rasmi..sijajua kama Jumatatu alizungumza au laBinti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.
Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.
Kumbe maneno machafu ya G ni yalitokana na maneno flani toka kwa jD, au unamaanisha nini hapo juu?Jay dee nae ifike mahali anyamaze aendelee na mambo mengine, kwani mkojozaji ni huyo peke ake???
Hata mi namshangaa sana, nadhan hil jambo linaweza kuathil biashara zake (music), mana kuna watu wengi wanamtetea G, na nadhan ndo mana hajaomba huo msamaha..!!
Kweli ifike Mahali ......
Ndio alimtajakwani alimtaja jina kuwa ndo alikojozwa?
Jay dee nae ifike mahali anyamaze aendelee na mambo mengine, kwani mkojozaji ni huyo peke ake???
Huyu ndindindi asipo omba msamaha tutamndindindiBinti machozi alitoa siku saba kwa aliyekuwa mwandani wake kumuomba radhi hadharani vinginevyo sheria itachukua mkondo.
Mdau aliyepata kilichojili baada ya siku saba kupita hebu tujuze nini kilikuwemo ndani ya box!.