Nini kimejiri katika Shule ya Sheria ya Vitendo (Law School of Tanzania) mpaka mitihani ya written practical assessments kufutwa?

Kingspy

New Member
Joined
Jul 16, 2026
Posts
1
Reaction score
4
Wanafunzi wa shule ya sheria kwa vitendo kwa Cohort ya 40 &42 wamejikuta katika TAHARUK mara baada ya kukutana na Taarifa katika akaunti zao za chuoni hapo (Lawsaris) ambazo zinatumika pia kupata taarifa za matokeo yao. Taarifa hiyo ambayo inasadikika kutolewa na Uongozi wa Chuo ikiwasilisha maamuzi ya Bodi ya shule hiyo ikisema IMEFUTA MITIHANI YA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENTS (WPA) ambayo ilifanyika 18-26 June, kuwa itarudiwa tena mara baada ya wanafunzi ambao wapo katika field yaani cohort 42 kumaliza kipindi hicho.

Ikumbukwe Field huwa inafanyika kwa miezi 6 kwa hiyo kwa makadirio mitihani hiyo itafanyika mwezi wa 12 au mwakani January.

IFAHAMIKE PIA wiki moja iliyopita Uongozi wa shule hiyo ilitoa Taarifa ya Kufukuzwa wanafunzi 15 kwa makosa hilohilo la Udanganyifu(cheating). Sasa kwa mujibu wa sheria na taaratibu Bodi ya shule hiyo ndio chombo cha mwisho cha kufanya maamuzi katika Taasisi hiyo na maamuzi yake ni ya mwisho.

Sasa mjadala wa wanafunzi ni wanahoji kwanini wamefutiwa wanafunzi wote mitihani wakati wapo wanafinzi 15 waliofukuzwa kwa kosa hilo hilo?

Je, kama imefutwa wanafunzi hao 15 (wale ambao wanaangukia katika mitihani hiyo) wanaweza rejeshwa tena chuoni?

Vipi hatima ya wale ambao walitegemea matokeo ya mwezi wa 10 ingewafanya waapishwe kuwa mawakili mwezi 12!!?

Je, ni halali kufutiwa matokeo bila kusikilizwa!? Ni nini haki ya wanafunzi hao pale ambapo hawajiridhika na maamuzi hayo!

IMG-20260716-WA0151.jpg
IMG-20260708-WA0078.jpg
Screenshot_2026-07-16-18-02-42-827_cn.wps.moffice_i18n.jpg
 
View attachment 3630447View attachment 3630448View attachment 3630449
Haya, wanasheria Kwa wanasheria,Tena WASOMI!
 
Hauwezi kutetea cheating halafu ukawa na akili timamu ,walitakiwa kunyongwa kabisa ,unaibia vip mtihani ?..Katika ujinga basi ni cheatings , inawezekana paper ilivuja ..

Elimu ya hovyo yaani nilikuwa miaka hiyo nawaheshimi sana wasomi ,nilikuja kushangaa watu advance wanafanya cheating ,ila nilipofika chuo ndo kabisa watu wananunua mpaka papers ( kuvuja).
 
Back
Top Bottom