Basi sawa mkuuNahisi hiyo statement ya mwisho kaingeza baadaye. Wakati na soma ni kama vile sikuiona...
mkuu si unajua leo wikiend, afu nilipanga saa 9 nisepe maeneo flan hvAlikua aje asubuhi yote hii
Bora tuu maana huwezi kuzini mwezi huu mtukufu, shubamiiiitiiTema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.
Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa, kaniambia kapata udhuru anaenda Muhimbili eti dada yake anataka kuongezewa damu
Hapa nimefura kweli, nimewapigia tigopesa. wakasema ela ishatolewaa.
Nimeona ni share na nyie kidogo nitatulia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
mamboHujifunzi tu? Wanaume wenzako wamesema usimtumie mdada nauli... We naona hela zinakuwasha!
Nitumie na mimi basi!
Ni shiidaa[emoji16][emoji16][emoji16]Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.
Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa, kaniambia kapata udhuru anaenda Muhimbili eti dada yake anataka kuongezewa damu
Hapa nimefura kweli, nimewapigia tigopesa. wakasema ela ishatolewaa.
Nimeona ni share na nyie kidogo nitatulia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Hahaha ungekomaa na ww kwenda kuchangia damu mkuuDah hakuna zaidi ya hii pole sana