Nini Kimekukera Leo?

Nini Kimekukera Leo?

Hujifunzi tu? Wanaume wenzako wamesema usimtumie mdada nauli... We naona hela zinakuwasha!
Nitumie na mimi basi!
 
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.

Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa, kaniambia kapata udhuru anaenda Muhimbili eti dada yake anataka kuongezewa damu

Hapa nimefura kweli, nimewapigia tigopesa. wakasema ela ishatolewaa.

Nimeona ni share na nyie kidogo nitatulia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Bora tuu maana huwezi kuzini mwezi huu mtukufu, shubamiiiitii
 
Kilichonikera leo kwanini sikuwa wa kwanza kuchangia huu uzi? I'm joking
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
...
 
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.

Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa, kaniambia kapata udhuru anaenda Muhimbili eti dada yake anataka kuongezewa damu

Hapa nimefura kweli, nimewapigia tigopesa. wakasema ela ishatolewaa.

Nimeona ni share na nyie kidogo nitatulia
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Ni shiidaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Poleni sana mliokereka leo..ila mimi namshukuru Mungu Sijakerwa na kitu wala mtu yeyote leo
 
Back
Top Bottom