Kama hiviMechi iliendelea Tena baada ya kusimama kwa dakika 20 hivi...na waliporudi uwanjani timu zote kwa dakika 13 zilizokuwa zimebaki wachezaji walikuwa wanapasiana tu mpira huku makipa wakiwa hawapo langoni..hii ni kwa mujibu wa bbc.,.timu zote zilikuwa zinawataka mashabiki waliobeba mabango dhidi ya kiongozi wa Hoffe...waache kufanya hivyo..
Mimi nilijua waliokuwa wamebeba mabango ni mashabiki wa Hoffeinhem kwa kweli walichokifanya mashabiki sio halali kabisa.Wadau iko hivi:
Wakati mchezo WA 29/2/2020 ukiendelea dakika ya 77 mashabiki wa Bayern Munich walianza mabango yao na wakimzomea boss wa Hoffeneihm Dietmar Hopp kuwa ni Son of Bitch.
Kocha wa Bayern pamoja na wachezaji wa Bayern waliwaomba mashabiki waache hiyo kitu lakini bado waliendelea, Referee pia aliwaonya lakini bado.
Ndipo wachezaji wa Bayern na Hoffeneihm walikubaliana kutoka nje ya uwanja na Refa akawaruhusu fairly kabisa.
Lakini wakiwa nje ya pitch ndipo kwa pamoja walikubaliana hakuna timu kufunga goli dakika 15 zilizosalia ila tu wapigiane pass kama heshima kwa tajiri wa Hoffeneihm.
A great gesture!!! Wachezaji walifanya vile kama kuonyesha tu mpira ni fair play...kivipi boss Dietmar Hopp ni son of Bitch?
Hawawezi.Livapool wangeshafanya hivyo kwa miaka 30 bila kombe.Sisi bado timu inaboreshwa.Mashabiki wa man utd wanatakiwa wafanye Kama hivyo
Wewe sio mwana wa kicheche wewe ni jua la ufukweni tofauti ndo hiyo.Mbona mimi nilishatukanwa sana hiyo Son-of-what sijui lakini hao Bayern na Hoffeinheim hawajawahi kunitetea? Huyo boss avumilie kama mimi tu.
Kwa kuongezea tuu.Wadau iko hivi:
Wakati mchezo WA 29/2/2020 ukiendelea dakika ya 77 mashabiki wa Bayern Munich walianza mabango yao na wakimzomea boss wa Hoffeneihm Dietmar Hopp kuwa ni Son of Bitch.
Kocha wa Bayern pamoja na wachezaji wa Bayern waliwaomba mashabiki waache hiyo kitu lakini bado waliendelea, Referee pia aliwaonya lakini bado.
Ndipo wachezaji wa Bayern na Hoffeneihm walikubaliana kutoka nje ya uwanja na Refa akawaruhusu fairly kabisa.
Lakini wakiwa nje ya pitch ndipo kwa pamoja walikubaliana hakuna timu kufunga goli dakika 15 zilizosalia ila tu wapigiane pass kama heshima kwa tajiri wa Hoffeneihm.
A great gesture!!! Wachezaji walifanya vile kama kuonyesha tu mpira ni fair play...kivipi boss Dietmar Hopp ni son of Bitch?
Inaitwa 50+1 ndo kapenyamo umo na ukiacha hyo timu zipo timu mbili tu ambazo zinamilikiwa dizaini hyo lkn hzo timu zinamilikiwa na vyama vya wafanyakazi.Kwa kuongezea tuu.
Hata kwenye Mechi ya Dortmund vs Freiburg.
Mashabiki walifanya hivyohivyo.
Hao mashabiki wa soka wanadai, huyo mmiliki amevuruga utamaduni wa soka la ujerumani. Kwa kuwekeza Hoffeneihm kupita kiasi.
Unajua ujerumani kuna sheria ngumu, zinazowabana matajiri kumiliki au kuwekeza kwenye timu yoyote. Japokuwa kuna exception ambayo huyo tajiri wa Hoffen kaitumia.
Beggars can't be choosers
50+1.ina maana gani mkuuInaitwa 50+1 ndo kapenyamo umo na ukiacha hyo timu zipo timu mbili tu ambazo zinamilikiwa dizaini hyo lkn hzo timu zinamilikiwa na vyama vya wafanyakazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ukiwa na asilimia zaidi ya 50 katika hisa ndo unakua mmiliki ila kwa zaidi gugo
Kwa kuongezea tuu.