mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Baada ya kuwa wamepigwa bao 6-0 dhidi Buyern mashabiki wa Hoffeinem eti wanaonekana kufanya mgomo kwa bosi wa timu kwa sababu ndiye anayeikwamisha. Kumbuka Hofeinem ni moja ya timu bora kabisa Bundesliga hasa misimu miwili iliyopita.
Mechi hii imekatishwa dakika ya 75 na Buyern wamepewa point 3. Anayejua mkasa huu afunguke hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi hii imekatishwa dakika ya 75 na Buyern wamepewa point 3. Anayejua mkasa huu afunguke hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app