- Thread starter
- #21
Ndio uwezo wako ulipoishiaShida mnataka kila mtu afikiri mnavyofikiri nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uwezo wako ulipoishiaShida mnataka kila mtu afikiri mnavyofikiri nyie.
Ulimwengu ni Muislam, ila hana mbambamba.Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.
Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Huenda wameshachagua upande.Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.
Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Ajabu unaandika mkataba au makubaliano ni mbaya, halafu unasema waarabu watatusaidia sana!, sasa watatusaidia kupitia makubaliano gani? au ndio tumeshakuwa wajinga wakujitoa sadaka kizembe, halafu tunasubiri hisani ya wageni?Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.
Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.
Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshangaa!.
P
Jenerali ulimwengu,mtu mbaguzi,mlevi na mvuta bangi.mie huwa sioni kbs chochote kwenye kichwa cha huyu kikongwe.Hivi `Jenerali ana udini kweli ?
maake siamini kama Ulimwengu ni mnazi wa huo uislam-...mtu mwenye akili nyingi na tafakuri za kina kama Jenerali hawezi zombwa na ujinga wa dini za mapokeo hizi.
inawezekana kabisa mkono mchafu wa mwarabu umewafikia raia mwema na wameulamba. Kuendesha gazeti bongo si lele mama, nani anapoteza pesa yake kununua gazeti leo wakati habari zote zinapatikana mitandaoni?Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.
Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Hongera kwake kama ana upenda uislamu.Ni mdini balaa
Sawa! Lakini kuna Muhariri yeyote ambaye amejikita katika uchambuzi wa vifungu tata katika IGA? Mi nafikiri kama waandishi wao wasijikite katika kuwa Mwarabu mmbaya au mzuri ila wajikite katika vifungu tata.Watanzania tuna tatizo la mirengo, na negativity, ukiishakuwa na mrengo negative kuhusu jambo fulani, na ukaamini, hata ukiambiwa ukweli halisi hutaamini!.
Mfano mzuri ni hizi kelele za DPW na Bandari zetu, mkataba au makubaliano ni mabaya lakini DPW ya Mwarabu wa Dubai ni nzuri na itatusaidia sana.
Sasa mtu uliyeaminishwa Mwarabu wa Dubai na DPW ni wabaya, akitokea mtu kukueleza ukweli kuwa ni wazuri, wewe lazima utamshangaa!.
P
Mbona liko poa tu! Kwa sasa liko kizalendo zaidi.Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.
Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Ni kweli muarabu anatosha nimeona hata Jamhuri ameishaliweka mfukoni. Tanzania ukiona mtu anapita kelele kuhusu ufisadi jua kamba yake ni fupi, haimfikishi kwenye asaliinawezekana kabisa mkono mchafu wa mwarabu umewafikia raia mwema na wameulamba. Kuendesha gazeti bongo ni lele mama, nani anapoteza pesa yake kununua gazeti leo wakati habari zote zinapatikana mitandaoni
Anatakiwa kumpenda Mungu na siyo uislamu
Naunga mkono hoja, media zetu ni tatizo, waandishi wetu wa habari ni tatizo na Wahariri pia ni tatizo!.Sawa! Lakini kuna Muhariri yeyote ambaye amejikita katika uchambuzi wa vifungu tata katika IGA? Mi nafikiri kama waandishi wao wasijikite katika kuwa Mwarabu mmbaya au mzuri ila wajikite katika vifungu tata.
Mfano:- Hamza Johari siku anaongea na wahariri alizungumza kuwa sio kweli kuwa wanampa DP Wolrd bandari zote za Tanganyika ila ni Bandari ya Dar tu! Ila kwanini kwenye IGA kuna maneno "Sea and Lake Ports"? Yapo kwa bahati mbaya? Mbona hata ao wahariri wameshindwa kuliona ilo? Ni Oscar Oscar tu tena mchambuzi wa habari za michezo ndo amewahj kulisema ili ila wengine wamefumba mamcho nankuandika maneno ya Johari as if siku wakipelekana mahakamani maneno ya Johari ndiyo yatazingatiwa kuliko kilichopo kwenye mkataba wenyewe.
Natamani sana akusome vizuri huyo uliyemjibu hapa.Objectivity !!!
Ukweli ni Upi ? Kwamba wewe ndio una Hati Miliki ya Ukweli ? Na sababu unahabarisha unatoa Ukweli wako tu na sio Ukweli wa Mwingine ?
Kazi ya magazeti / habari ni kuongelea ukweli na kama ukweli huo ni subjective una pande mbili kazi ya hao waandishi ni kuchukua pande zote kuelezea wanachosema na mwisho wa siku ni kumalizia kwa conclusion accordingly wao wanavyoona (Na hata wanavyoona sio wote ni sawa kutokana na perspective Tofauti)...; Sasa kama Serikali ndio sahihi na hivi vyombo vinatumika kusambaza kile Serikali inataka hio ni Propaganda Machine...
Duh...!. Naheshimu mawazo yakoWewe ni mwandishi na mwanasheria kinyonga.
Mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kutoa maoni yangu ya kisheria Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!Wasomi wenzio wameonyesha dukuduku zao kwenye baadhi ya vipengele,
Uzuri sio wa mauzo ni wa DPW.badala ya kujibu hoja zao mnaelezea uzuri wa mauzo hayo?
Ni wapi ilipoandikwa hivyo?Shida mnataka kila mtu afikiri mnavyofikiri nyie.
Hata wewe pia ni tatizo. Bahasha ingekupitia au teuzi usinge ona mapungufu. ila wewe jamaa una bahati mbaya.Naunga mkono hoja, media zetu ni tatizo, waandishi wetu wa habari ni tatizo na Wahariri pia ni tatizo!.
P
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk.
Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini wa Ulimwengu au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri?
Logic contradiction[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ajabu unaandika mkataba au makubaliano ni mbaya, halafu unasema waarabu watatusaidia sana!, sasa watatusaidia kupitia makubaliano gani? au ndio tumeshakuwa wajinga wakujitoa sadaka kizembe, halafu tunasubiri hisani ya wageni?
Ulichoandika hapo juu ni dharau kwetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kamba ikirefuka wanakausha kimya,baadae ukiwauliza vipi mbona siku hizi hatuoni mashambulizi yako kwa mahasimu wako?watakujibu kwamba"Pamoja na mabaya yao wanayofanya ila wana mazuri mengi"baniani mbaya kiatu chake dawaNi kweli muarabu anatosha nimeona hata Jamhuri ameishaliweka mfukoni. Tanzania ukiona mtu anapita kelele kuhusu ufisadi jua kamba yake ni fupi, haimfikishi kwenye asali