Nini kimelisibu gazeti la Raia Mwema?

Limekuwa toilet paper
 
inawezekana kabisa mkono mchafu wa mwarabu umewafikia raia mwema na wameulamba. Kuendesha gazeti bongo si lele mama, nani anapoteza pesa yake kununua gazeti leo wakati habari zote zinapatikana mitandaoni?
Una uhakika wamiliki ni wale wale wa zamani kina Ulimwengu?
 
Hivi `Jenerali ana udini kweli ?
maake siamini kama Ulimwengu ni mnazi wa huo uislam-...mtu mwenye akili nyingi na tafakuri za kina kama Jenerali hawezi zombwa na ujinga wa dini za mapokeo hizi.
Humjui vizuri Ulimwengu weweee!
 
Mayala - manjaa makubwa

Unategemea nini? 😳😳😳

Hatuna waandishi wa habari Tanzania. Tuna wachumia tumbo tu wanaopenyezewa vibahasha. Yaani hakuna investigative journalist hata mmoja!
 
Msilete habari ya udini hapa kama mtu anataka kuuza nchi awe Muislamu, Mkristu, Muarabu, Muhindi, Beberu huyo ndio mgomvi wetu. Ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…