Nini kimemkuta Dele Alli?

Tatizo lilianzia hapa ..huyu ndie maria mtoto wa pep gardiola ,dele alianza kutembea nae ,badae akawa anakuwa mvivu spurs ,hafanyi mazoezi ,morhino kipindi hiko ndio yupo spurs ,wakaachana nae ,maana mo alimchana live " lazy player[emoji3]"

Baada ya hapo hajawahi kurudi kwenye kiwango ...
 
Huyu laana ya kuiropokea arsenal maneno mabovu inamtafuna....

Nasikia utopolo wanamnyatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


ALISEMA YEYE KUICHEZEA ARSENAL BORA ASTAAFU SOKA HATA AKIWA NA MIAKA 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na nyie mshtuke sasa mpaka mchezaji kuwatamkia hivyo ujue mna kagundu na mikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…