James Gatz
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 301
- 319
Kama wimbo wa huyo jamaa katika avatar yako!ni mitungi na mikasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wimbo wa huyo jamaa katika avatar yako!ni mitungi na mikasi
Huyo ana laana ya mama Ake na babake alikua anawavimbia[emoji116]View attachment 2471112
And how old is MbApe and what about haaland?Sasa how old is jude? How is old is foden???
Ndiyo yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo lilianzia hapa ..huyu ndie maria mtoto wa pep gardiola ,dele alianza kutembea nae ,badae akawa anakuwa mvivu spurs ,hafanyi mazoezi ,morhino kipindi hiko ndio yupo spurs ,wakaachana nae ,maana mo alimchana live " lazy player[emoji3]"
Baada ya hapo hajawahi kurudi kwenye kiwango ...View attachment 2471156
Nilivyosoma hiyo title nikajiuliza huyu jamaa sio muingereza kweli?Another overrated English footballer!
Sometimes mashabiki na media wanachangia sana kumkuza mchezaji tofauti na uwezo wake halisi. Tangu akiwa spurs alikua mchezaji wa kawaida sana[emoji116]View attachment 2471112
Kuna wakati media za Uingereza zilikuwa zinamfananisha na mmojawapo kati ya Xavi au Iniesta. Nilikuwa nashangaa sana.Sometimes mashabiki na media wanachangia sana kumkuza mchezaji tofauti na uwezo wake halisi. Tangu akiwa spurs alikua mchezaji wa kawaida sana
Dele alli sio mchezaji pekee mwenye demu bhana aguero kashachapa binti wa maradona mwenyewe ila uwanjani alikua anakiwasha.. huyu jamaa alikua overrated tu na media za uingerezaTatizo lilianzia hapa ..huyu ndie maria mtoto wa pep gardiola ,dele alianza kutembea nae ,badae akawa anakuwa mvivu spurs ,hafanyi mazoezi ,morhino kipindi hiko ndio yupo spurs ,wakaachana nae ,maana mo alimchana live " lazy player[emoji3]"
Baada ya hapo hajawahi kurudi kwenye kiwango ...View attachment 2471156
Naona unachanganya mafaili sio ugiriki ni uturukiUkienda kucheza Ugiriki, kurudi kuwa kwenye kiwango kilekile ni nadra sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39]Naona unachanganya mafaili sio ugiriki ni uturuki
Wachezaji wa ENGLAND wengi hawana self discipline kwenye mpira wanacheza sana mpira wakiwa wadogo ila kuna umri wakifika wanapotea kwenye ramani.
Kawaida mzee, Yani unategemea mchezaji wa Totenham aulizwe kama anaweza jiunga Arsenal alafu akubali?Na nyie mshtuke sasa mpaka mchezaji kuwatamkia hivyo ujue mna kagundu na mikosi
Mkuu mbona "is" zimekuwa nyingi hivi?How is old is foden???