Kwamba usipojadili ndio haya mauaji yanaishia yenyewe automatically...???Watu wengine sijui mna ubongo wa aina gani. Mnajadili hawa wauaji kuwa ni serikali? Hivi wewe kwa akili zako za kawaida unaona watu wote waliouawa na kutekwa na hizi kesi za uhaini zinazofungulia kila kona ya nchi, mambo yako sawa mpaka uanze kuongelea teuzi? Hujui unahalalishi mauaji na unyama wote uliotokea? Mpaka likupate jambo gani ndiyo utajua kuwa hatuko kwenye kipindi cha kawaida.
Muda bado japo lolote linawezekanaNasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum?
Watu waadilifu, waaminifu, wazalendo kama Slaa,Gwajima wanaondelewa na Samia.Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum?
Nakubaliana na wewe ila wewe hukujadili mauaji bali uteuzi wao wa kihuni.Kwamba usipojadili ndio haya mauaji yanaishia yenyewe automatically...???
Kijana unatakiwa kufikiri na kujitambua kisha kuchukua hatua..
Haki huwa haiji kama kikombe cha chai bali hupambaniwa...
Alisemaje? Tunaomba linkHukumsikia mtu fulani akizungumzia ma Gwajima?.
P
Huyu maza anapendwa sana48 Laws of power
Law #1: Never Outshine the Master
Mamlaka sio Baba au MamaAcha porojooo, hata kama mzazi anakosea asirekebishwe? Jinga wewee
Hutakiwi kupendwa kuliko bosi kubwa, huyu nafikiri ndio waziri pekee aliyeweza kupost mambo instagram na X bila kufunga comments na kuwasiliana na raia katika hali ya utulivu....ngoja tuone kama atarudishwa au ndio imetokaHuyu maza anapendwa sana
Akili zingine, hivi mtu asiposhiriki hata tu zile kura za maoni..hupati tafsiri ya kufanya hivyo hadi unauliza..? au hdi atamke kwa mdomo HATAKI!Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum?
ExactlySo, tutarajie atachomokea kwenye zile nafasi 10 za Rais wa mchongo???