Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum?
Yaani una muda wa kujadiri vyeo. Aisee!!!