Nini kimemkuta Khamisi wa BSS?

Nini kimemkuta Khamisi wa BSS?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba BSS.

Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki lukuki, ikumbukwe kijana huyu alikulia kwenye misingi bora ya dini.

Hivi juzi kati picha yake imekuwa ikitrendi kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki zake wakijiuliza nini kimempata?

C8FC5BA0-CB4B-4612-9047-95D4146D9234.jpeg

9AA1BFC7-4B44-4858-85A1-754B311553D1.jpeg
 
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba bss.

Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki lukuki, ikumbukwe kijana huyu alikulia kwenye misingi bora ya dini.

Hivi juzi kati picha yake imekuwa ikitrendi kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki zake wakijiuliza nini kimempata?

View attachment 2536493

View attachment 2536492
Kwenye kutafuta pesa, kuna fanya mtu abadilike asimkumbuke hata Muumba wake....

Anewei maisha ni kuchagua, kubadilika ni maamuzi yake
 
Ameshaleft group huyo,ukiona mwanamuziki amebleach nywele ujue tayari huyo
 
Ni umaskini tu unamsumbua atafute pesa
 
Huyu kijana alitamba sana kipindi cha nyuma kwenye kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba bss.

Kutoka na kupiga guitar kwa umaridadi mkubwa na kuimba vizuri kulimfanya ajizolee mashabiki lukuki, ikumbukwe kijana huyu alikulia kwenye misingi bora ya dini.

Hivi juzi kati picha yake imekuwa ikitrendi kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki zake wakijiuliza nini kimempata?

View attachment 2536493

View attachment 2536492
Fag boy already. Very sad and disappointing to his folks.
 
nilimuona juz ITV anahojiwa kuwa anaimba taarabu labda ndo kujibrand huko au keshakula chuma cha moto
 
Back
Top Bottom