Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Lakini Dortmund yeye ndio alikiwa star wao kabla ya kwenda BayernAlikua wa kawaida sana hata kombe la dunia 2014 alikua anatokea benchi.
yaap suremajeruhi yanamsumbua sana kwa sasa
Atleast umeongea hoja yenye mashikomajeruhi yanamsumbua sana kwa sasa
Mwisho wa upeo wako wa kufikiriAmepigwa misumari
Mkuu naunga mkono hoja yako maana kuna siku nilibishana na mtu hapa jukwani bila kufikia mwafaka.Yeye na shinji kagawa walikuwa overrated
Post sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app