Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kutoka kuwa mfungaji wa goli la ushindi la Kombe la Dunia.
Moja kati ya viungo bora wa uchezeshaji kuwahi kutokea Ujerumani, Mario Gotze kwasasa hana namba ya kudumu toka alipokuwa Bayern Munich mpaka aliporejea tena Dortmund, nini kimemkuta kiungo huyu mahiri namba 10? Je alikuwa overrated? Karibuni kwa mjadala.