Nini kimemkuta Mbaraka Yusuf wa Azam Fc

Nini kimemkuta Mbaraka Yusuf wa Azam Fc

Vijana wanaoandaliwa kwenye under twenty ya Simba wasiwe wanahama kwa masimango pale msimbazi.
Huyu dogo aligoma kurudi nyumbani akahamia kwa jirani yanayomkuta kila mtu anajua.
Hata singano alifanya hivyo hivyo yaliyomkuta pia anajua.
Hassan Isihaka nae aliondoka kwa masimango ndani ya miaka mitatu amecheza vilabu vitatu tofauti hii ni laana

Wawe wanaondoka kwa heshima tu bila masimango
Vipi Marcel Kaheza?
 
Vipi Marcel Kaheza?
Marcel karudi simba na bado kipaji chake kipo vizuri tatizo la uongozi wa simba sijui walimsajili kaheza wa nini pamoja na mohamed Rashid
Walikuwa wanataka kaheza awe back up ya nani
 
Back
Top Bottom