Ni kipindi tu Cha mpito atarejeaMo Salah wa msimu uliopita sio huyu wa msimu huu. Kasi ya kufunga imepungua sana,umakini ndani ya box la adui umepungua pia, amekuwa ni mchezaji mwenye papara na kupoteza mipira kirahisi sana.
Je nini kimemsibu staa huyu wa Misri? ambaye kasi yake ya msimu uliopita ilitutisha na kufikia kumlinganisha na mastaa wa Dunia, Messi na Ronaldo.