Nini Kimemkuta Mo Salah Msimu Huu?

Nini Kimemkuta Mo Salah Msimu Huu?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mo Salah wa msimu uliopita sio huyu wa msimu huu. Kasi ya kufunga imepungua sana,umakini ndani ya box la adui umepungua pia, amekuwa ni mchezaji mwenye papara na kupoteza mipira kirahisi sana.

Je nini kimemsibu staa huyu wa Misri? ambaye kasi yake ya msimu uliopita ilitutisha na kufikia kumlinganisha na mastaa wa Dunia, Messi na Ronaldo.
 
Ni kipindi tu Cha mpito atarejea
 
Nilikuwa nawatazama wanaomfananisha Salah na CR7 na Messi nachoka kabisa.
 
Mzee huko uliko bado ni mwezi wa nane au? Salah huyu ambaye kashatupia goli nne mechi tatu unasema yupo slow

Kwani last season alikuwa na goli ngapi kwenye mechi kumi za mwanzo kulinganisha na msimu huu?

Jaribu kufanya karesearch kidogo mkuu mzungu mchawi ametutengenezea simu janja na mawebsite kibao yenye mastats!!
 
Back
Top Bottom