Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr, nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi, ushirikina, imani za kidini na masuala mengine nyeti.
Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.
Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.
Tafadhali rudi kwenye ubora wako
mshana jr