Nini kimemkuta Mshana Jr?

Nini kimemkuta Mshana Jr?

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr, nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi, ushirikina, imani za kidini na masuala mengine nyeti.

Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.

Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.

Tafadhali rudi kwenye ubora wako

mshana jr

1471364586576.jpg
 
duuh kuna watoto wamevamia jf
inachukua muda sana kuelewa huyu mwandishi ana akili gani?
Hahahaaa!! Sijui huyu jamaa hua anawalipa senti ngapi hawa watoto kuja kuanzisha vi thread vya kumuulizia huyo awazaye ushirikina na uchawi masaa yote?!
 
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr,nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi,ushirikina,imani za kidini na masuala mengine nyeti.
Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.
Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.
Tafadhali rudi kwenye ubora wako mshana jrView attachment 382729
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] mwacheee
 
mhhhh huyu mleta thread inabid apimwe maana humu mtu ni maamuz yake anaweza kujichanganya sehemu mbali mbali au ww ulimuona mshana jr ni mungu wako hawez kukosea mm mshana jr kanisaidia mambo meng kama
mambo jinsi ya kulea mtoto
mambo ya magari
 
Hahaha inawezekana hii ni fake id ya mshana jr saa hii atakuwa makapuku [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji13] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
Mshana yyupo kwenye Harusi ya Masanja
Atakuja
Ila mleta mada iyo picha ya mdada inachekesha kweli
Ungemuonesha na kwenye miguu,duhh
 
Back
Top Bottom