Nini kimemkuta Mshana Jr?

Nini kimemkuta Mshana Jr?

mtu akiwa huku anajiona kuwa ana akili sana hii sijui inasababishwa na nini,ila humu wengi ni ****** kama ****** wengine tu na kipimo cha hili ni pale mtu anapoleta hoja kunakuwa na reply nyepesi sana kama zinazoonekana huko juu,an empty mind is always defensive,kama lilivyo bomba tupu linavyopiga kelele nyingi.
Mkuu, hivi kumeza tonge la mboga ya mlenda unahitaji kufumba macho kwa uchungu? You don't have to be much of a complicator. Easy... easy mkuu.
 
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr,nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha na kuchangamsha akili hasa kuhusu ujasusi,ushirikina,imani za kidini na masuala mengine nyeti.
Lakini ghafla nimeanza kumuona katika forum za mahusiano na mapenzi,mara jamii celebrities akipiga umbea huko kuhusu mimba fake ya wema,mara sijui diamond kafanyaje na hapa juzi kanichosha kabisa kuhusu picha ya photoshop ya mtoto akiwakimbia manesi kuchoma sindano.
Sasa nataka kujua kaka mshana umepatwa na nini,au siyo wewe au kule kuwa great thinker ndio kumekufanya uwe na uwezo mdogo siku hizi.
Tafadhali rudi kwenye ubora wako mshana jrView attachment 382729
Mi nafikifi tukuulize ww !! Unashida gani??? Na ufahamu wako maana nijuavyo mm binadam hawezi kua complete focused in one area Kama special Mashine kwa ajili ya kitu flan! Pamoja na kuwa na ujuz au na uelewa na kitu flan bado kwa kua yy n binadam lazma atapenda utani,kujua maisha mengine,mapenzi,burudani na baadhi yanayofanya maisha yaende_!!.

Wewe Huna tofauti na tulivokua watoto Tulikua Tunaona kama ""wachungaji wenye heshima na kumcha mungu Sana hawafanyi mapenzi na mbwembwe zinazoambatana na hayo""...yote hiyo nikujisahaulisha kua pamoja namtu kua unique Sana kwenye kitu flani bado ni binadam na sifa ya binadamu iko pale pale!!!.....Na ukiona MTU yupo more specific Sana hawezi kufanya na hata vitu vingine huyo n Mental!!!...Na ndicho nachokiona
 
Yeah... naomba nimalizie... mental disabled!
 
Amehamia Dar mkuu,mtu akishakuwa mwanaume wa Dar basi kinachobakia ni tunampoteza!
 
Mtoa mada ndie mshana Jr mwenyew anatafuta Kiki kwa kutumia ID ingine
Bora na wewe mkuu umeliona hilo,tena ana ID nyingi tu anazunguka nazo na kujiulizisha viswali rahisi rahisi kwenye mada zake za kishirikina kisha kuvijibu kwa ID yake halisi na kujisifia kwa ID zake hizo fake! kwa mtindo huo amewakamata wengi sana aiseee!!
 
Bora na wewe mkuu umeliona hilo,tena ana ID nyingi tu anazunguka nazo na kujiulizisha viswali rahisi rahisi kwenye mada zake za kishirikina kisha kuvijibu na kujisifia kwa ID yake halisi..!!
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] kweli
 
Kachanganywa na UKUTA, unadhani ni rahisi kushikishwa ukuta mchana kweupe??
Mkuu mleta mada ameshakua Brainwashed na mada za kishirikina na mavitu ya kufikirika,anahitaji msaada ili arudi kwenye hali yake halisi.
 
Mtoa mada ndie mshana Jr mwenyew anatafuta Kiki kwa kutumia ID ingine
Amadoli nikikwambia thibitisha utaweza? Usiingie kwenye kundi la wenye chuki na roho za korosho....kama ni kutafuta kiki kuna maeneo ningefanya hivyo na sio hapa jukwaani
Katika maisha huwezi kupendwa na wote wala kuchukiwa na wote....
Cha kushangaza ni kwamba wale wanaokuchukia wanakuchukia kwakuwa wanatamani kuwa kama wewe lakini hawawezi, kwahiyo watu wa kaliba hii hua nawaangalia kwa jicho la imani sana
 
Back
Top Bottom