Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Wanaukumbi kwema,

Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza kabisa Diamond.

Ikumbukwe Ommy Dimpoz alianza vizuri kwa kutoa vibao matata kama Nainai, Baadae, Tupogo na Ndangushima. Baada ya hapo ametoa nyimbo zilizoshindwa kutamba kabisa...mfano mzuri ni Wanjera. Kwasasa dimpoz amepotea na kafunikwa na vijana wadogo akina Rayvan na Harmonize, Je ni nini kimemsibu staa huyu aliyekuwa anafananishwa na Diamond kwa uwezo wake Kimuziki?
naskia ni mke wa mwarabu so majukumu ya kulinda na kutunza familia yake yamembana
 
ujue ommy zamani alikaa karibu na uwaridi..
ndio maana akanukia
sasa sijui yuko team gani lazima apotee...
kabla alikua na chibu ,alifanikiwa sana!!!
saivi naona ana maskendo tu ya upunga
Na mimi naona hii ndo sababu
 
naskia ni mke wa mwarabu so majukumu ya kulinda na kutunza familia yake yamembana michezo mibaya anayofanyiwa inampa hela za kutosha hahitaji tena mziki
Duh kumbe zile pozi zake za kidem dem zinatokana na mgegedo wa mwarabu basi tushampoteza
 
Kati ya wasanii walianza na trend nzuri bongo huyu ni miongoni mwao, yaani kila dude aliloachia imoooo. Just imagine Nainai, Baadae, Tupogo, Me & U, Ndagushima na kuna mwingine watu wengi hawaujui hakuuachia officially unaitwa (Miss Koikoi) yaani hizo ngoma zote ni kali sana hakuna wa kuskip. Sahivi ukiangalia IG page yake ni kuuza sura tu na kujionyesha kamba anakula bata sana, hata kama kakosana na meneja wake so ndio uwe mwisho wa muziki wake? Acha kuuza sura dogo jiongeze
 
Wanaukumbi kwema,

Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza kabisa Diamond.

Ikumbukwe Ommy Dimpoz alianza vizuri kwa kutoa vibao matata kama Nainai, Baadae, Tupogo na Ndangushima. Baada ya hapo ametoa nyimbo zilizoshindwa kutamba kabisa...mfano mzuri ni Wanjera. Kwasasa dimpoz amepotea na kafunikwa na vijana wadogo akina Rayvan na Harmonize, Je ni nini kimemsibu staa huyu aliyekuwa anafananishwa na Diamond kwa uwezo wake Kimuziki?
ommy dimpoz, ni msanii mwenye uwezo mdogo sana kimziki..Kitu kilichombeba dimpoz ni kushirikisha wasanii wakali katika ngoma zake za mwanzo ndio aka-shine.. Hata wimbo uliomtoa kimziki alimshirikisha msanii mkubwa ndio akatoka.. Mastaa kama diamond na Kiba wapo juu kwani walifanikiwa kutoka kwa juhudi zao.
 
Back
Top Bottom