Mkuu,
Tatizo la Ommy Dimpoz tangu wamwambie "jogoo hawiki" anatumia nguvu kubwa kuwaonyesha watu jogoo wake anawika kuliko kutumia nguvu kwenye muziki wake.Hata ukiangalia kwenye akaunti yake ya instagram ,muda mwingi anautumia kuonyesha video za jinsi alivyo na "muhogo" mkubwa badala ya kuonyesha clips za nyimbo alizoimba ambazo hazijatoka kama wafanyavyo wakina Ally Kiba na Diamond.Mihogo mikubwa hata wasipandisha mitungi wanayo pia!Tena nadhani wao ndio wana 'mizigo' ya kutosha.
Anahitaji kubadilika,apate menejimenti itakayo mshauri jinsi ya kuwa kama mwanamuziki badala ya handsome boy 'muuza sura' kwenye mitandao!
Ni hayo tu!