Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Networth yake naskia mara ya mwisho ilikuwa inasoma £. 600Mil!
 
Mkuu,
Tatizo la Ommy Dimpoz tangu wamwambie "jogoo hawiki" anatumia nguvu kubwa kuwaonyesha watu jogoo wake anawika kuliko kutumia nguvu kwenye muziki wake.Hata ukiangalia kwenye akaunti yake ya instagram ,muda mwingi anautumia kuonyesha video za jinsi alivyo na "muhogo" mkubwa badala ya kuonyesha clips za nyimbo alizoimba ambazo hazijatoka kama wafanyavyo wakina Ally Kiba na Diamond.Mihogo mikubwa hata wasipandisha mitungi wanayo pia!Tena nadhani wao ndio wana 'mizigo' ya kutosha.
Anahitaji kubadilika,apate menejimenti itakayo mshauri jinsi ya kuwa kama mwanamuziki badala ya handsome boy 'muuza sura' kwenye mitandao!
Ni hayo tu!
 
ipo siku kuna mtu atakuja kuuliza Iv mond sikuiz yupo wap......??


waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481]
 
Ukisikia gemu inachemsha ndio huku hata yeye mwenyewe hajui alijikwaa wapi na Wema naye na wasiwasi nae alianza kumuwekea gundu tangia video ya wanjera
 
Babu tale na mshkaji wake Gaidi Fella wamemshusha dogo kisa alikataa kujiunga na label yao ya WCB
 
Tatizo ommy nae haeleweki tunaona kujipiga picha za kuonesha dimpoz tu kama mwanamitindo
 
Back
Top Bottom