Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Most of Tanzanian are stupid that's y kanumba was only best actor in Tanzania after his death everything went wrong in bongo movies due to unfair and stupid competition because they can't help each other due to battle contributed by fans like u stop comparing our own artists
Mkuu fafanua kidogo watu wakuelewe iyo tofauti
Kubahatisha kuna mwisho wake ndo umefika kwa omary. ...kuna watoto tangu waanze kuingia katika game hawajawahi kukosea lakini hawapewi heshima stahiki. .msikilize rich mavoko na msikilize omary ujue hii game haiko fair lakini mwisho wa siku mbahatishaji anapotea taratibh
Duuu hizi mambo hizi za kila msanii kumfananisha na diamond sio sahihi kabisa huu ni ujinga sio ushabiki na ommy hajawahi kugombana na diamond ila jamaa ana mambo ya kike yule domo kisa wanjera na kuwa karibu sana na wema alitaka na yy asipatane na wema
Mkuu fafanua kidogo watu wakuelewe iyo tofauti
Mashabiki ndo tunawagombanisha wale jamaaChibu hana tatizo na ommy, japo si marafiki kama zamani... Na kama umesikia wimbo wa ommy vizuri kamuimba diamond, hiyo ni heshima kubwa sana...!!
Mavoko hana management yule ni zaidi ya kipaji kuna hawa wasanii wanajua sana ila bahati ndo tatizoKubahatisha kuna mwisho wake ndo umefika kwa omary. ...kuna watoto tangu waanze kuingia katika game hawajawahi kukosea lakini hawapewi heshima stahiki. .msikilize rich mavoko na msikilize omary ujue hii game haiko fair lakini mwisho wa siku mbahatishaji anapotea taratibh
Mavoko hana management yule ni zaidi ya kipaji kuna hawa wasanii wanajua sana ila bahati ndo tatizo
Y tony
Recho
Nasiri nk ila clouds wanajifanya mungu watu amini na lina ndo n
Basi tena kimziki
Sio kweli clouds ni redio moja ya ajabu sana kuwahi kutokea TanzaniaHakuna cha bahati, wala clouds kuvimba
-Msanii unatakiwa uingie studio utoe ngoma kali, utoe video kali, vipate airtime (na uzuri tu vituo ni vingi saana tvs na radios) kama mwanamuziki mchanga ndio ikutambulishe kama ilivyo basi nenda kwa mo music, na kama tayari umetoboa basi ikuongezee mashsbiki n.k ....
-Tofauti na kutoa ngoma, awe na interval nzuri ya jinsi ya kuachia ngoma zake ili awe kwenye media muda woote, na kuhakikisha anapush zipokelewe na kupata airtime ya kutosha
-Msanii anatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na wasanii wenzake na wadau wa burudani. Hapa ndio mwanzo wa kupata support ya promo ya kazi zako, kupeana maujanja, ushauri na kupata shows ambazo ndio chanzo kikuu cha mapato ya wasanii wetu
-Msanii anatakiwa ajibrand, lazima afanye vitu vya kumuweka awe kama chumvi kwenye mboga, mitandaoni usimtafute kwa tochi, awe gumzo, watu wamuelewe zaidi ya kusikiliza tu nyimbo zake ili hata akija kukwambia bila mil 15 sifanyi show promoter ajiongeze
HUYO NDIO MSANII, SIO UNAISHIA KUSEMA NINA KIPAJI TU UNATAKA KIPAJI KIJIUZE UNASAHAU BONGO STAR SEARCH NA TUSKER PROJECT FAME VIJANA NI WAKALI WANATOKA KILA MWAKA ILA HAIELEWEKI WANAKWENDA WAPI.. GAME IS FAIR ENOUGH KAMA UTAENDANA NALO..
Yaani mpaka leo hamjui tatizo nini? Hana kipaji. Wasanii wengi wa bongofleva ni talentless wanabebwa na beat tu kama unabisha waambie wakuimbie acapela ndio utajua
Management yake ina watu wawili ninao wafahamu mubenga na Ay sijui ni panic au vipi maana wanampoteza yule dogo kipaji anacho sound on point but management ni tatizo kwa wasanii wengi sana Tanzania
Afu kingine kikubwa ni kujifanya amekuwa mkubwa sawa na Diamond...
Maana kipindi ni marafiki wakubwa Diamond alikuwa anambeba saana akisafiri kwenda kushoot video wapo nae, mambo mengi sana alikuwa anajifunza kwa Diamond...
Sasa baada ya kuona amekua na kuanza kuvimbiana na Chibu ikawa tatizo, licha ya kupunguza upendo kwa baadhi ya mashabiki, amekosa pia maujanja ya kulishika game vizuri, anaishia anavyofanya hivisasa.. Wanaishia kusikia tu Diamond ananyimbo kaaaali 5 zenye video tayari, 3 zake 2 za kushirikishwa, haya maujanja anayakosa ommy maana watu anaoambatana nao hawampi hizo challenge, anaishia kusema ana album kadhaa kumbe ni nyimbo mbovu..
Na Ay pia unity entertainmentManagement yake yuko Mubenga na sahvi kamuongeza AbbyPlates mkuu"
Na Ay pia unity entertainment
Ndo hivyo kamuongeza latika managementSidhani kama Ay yupo" Unit entertainment kama ishakufa tu
Huyu alikua bado sana..akaanza kupata dira kwa superstar chibu dangote na kuanza kupendwa na wampendao chibu yeye akaleta jeuri..without knowing he still got a long way to go. Basi na sisi tukamtema. Maaana kwanza hanaga nyimbo nzuri, kisauti kama cha mbuzi, nyota ndo kabisaaaa hana, wanampenda wa kinondoni wenzie tu na zile dimpoz zake kama tundu za maskio. Excuse my french:crazy:
Kubahatisha kuna mwisho wake ndo umefika kwa omary. ...kuna watoto tangu waanze kuingia katika game hawajawahi kukosea lakini hawapewi heshima stahiki. .msikilize rich mavoko na msikilize omary ujue hii game haiko fair lakini mwisho wa siku mbahatishaji anapotea taratibh
Ommy Dimpoz hana kipaji cha muziki ye umwambie kuvaa vikaptura vya kubana na tuviatu twa kike. Halafu ana vimiwani vyake vile vya kurembua macho hasara kabisa yule