Daaahhhh kwa hiyo ommy bila mondi hawezi...haya ni mawazo ya kitegemezi yasiyofaa..
Ommy nimemjua kupitia nainani ft kiba kwa hiyo siioni mantiki yenu.
Na hata kama mtapinga saaana ila wema alichangia mafanikio ya diamond kwa kumtengenezea publicity ambayo alikuwa hana....
Wakati diamond anaanza kutoka na wema,wema alishakuwa bomb kitambo na tena jamaa bado alikuwa hana title kama aliyoipata baada ya kuwa na relationship na wema....
Wema ameshuka kwa maana zama zake zinaisha kwa maana hayupo active katika kazi zake kama mondi....
Ommy anacho kipaji na hakuwah kufanya collabo na diamond ili atoke,sasa sielewi umungu wa mond mnaompa uko wapi???!!!!!
watu wanaachia body na kutengeneza pesa nyie endeleeni kupika majungu tuu