Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Yaani mpaka leo hamjui tatizo nini? Hana kipaji. Wasanii wengi wa bongofleva ni talentless wanabebwa na beat tu kama unabisha waambie wakuimbie acapela ndio utajua
well put mkuu
 
yaani mi naona msanii akianza kushirikiana na wema anapotea sokoni sijui kwa nini!
 
Daaahhhh kwa hiyo ommy bila mondi hawezi...haya ni mawazo ya kitegemezi yasiyofaa..

Ommy nimemjua kupitia nainani ft kiba kwa hiyo siioni mantiki yenu.
Na hata kama mtapinga saaana ila wema alichangia mafanikio ya diamond kwa kumtengenezea publicity ambayo alikuwa hana....
Wakati diamond anaanza kutoka na wema,wema alishakuwa bomb kitambo na tena jamaa bado alikuwa hana title kama aliyoipata baada ya kuwa na relationship na wema....
Wema ameshuka kwa maana zama zake zinaisha kwa maana hayupo active katika kazi zake kama mondi....
Ommy anacho kipaji na hakuwah kufanya collabo na diamond ili atoke,sasa sielewi umungu wa mond mnaompa uko wapi???!!!!!
watu wanaachia body na kutengeneza pesa nyie endeleeni kupika majungu tuu
 
Dimpoz hana kipaji. Alitengenezwa ili ashind ane na Mondi kwa bahati mbaya alijimaliza mwenyewe. Ndipo alipoibuliwa mtumwa Kiba na kuanza kunyonywa na mawingu na kina uncle P.
 
Ommy dimpoz mkali. Tatizo anarogwa kinigeria na diamond. Ndo maana alivyomsanukia mchawi wake, urafiki wake na diamond umekufa
 
Kweli wee Fisadikuu,wataka mjukuu wakati mtoto huna
Sasa unaacha kukaa na Diamond ujifunze unaenda kukaa na Idris Sultan na Wema Sepetu unategemea nini?? Mambo mengine huwa ni ya kujitakia tu
 
Huyu diamond ndo nani..!? mbona mnamuona kama mungu wenu..yaani diamond mkichukiana unashuka kimziki? kweli ata diamond kapata misukule kama ya lumumba
 
Kitu Kama Big G ,sio utamu umeshaisha huooo!ndio wasanii wa sasa hivi.
 
Ommy Dimpoz hana kipaji cha muziki ye umwambie kuvaa vikaptura vya kubana na tuviatu twa kike. Halafu ana vimiwani vyake vile vya kurembua macho hasara kabisa yule
hahahah we jamaa wew noumah
 
Back
Top Bottom