Nini kimemkuta Paul Pogba?


Kuna kipindi alionekana madina yupo hija
 
Pogba ni Balotel aliyezubaa, mulemule. Kiburi/jeuri
 
Kuna huyu ndugu yetu wa damu Sadio mane, nayeye ni kitu gani kimemkuta mana haimbwi kabisa.
 

Hapa ndipo ninapowaheshimu Ronaldo na Messi, unahitaji kuwa na heshima ya hali ya juu ili kuendelea kubaki katika viwango vya juu.
Itapita miaka namiaka kupata kizaz chao ambapo mtu anza kuweka rekod zadunia tangu kinda tena wakishinda balloon Dior nabado wanakiwasha hadi kwenye 35+
 
Victoire nini kimemkuta Pogba ? Au zile ndumba zime-expire...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…