Nini kimempata Bilionea Mo Dewji?

Nikusahihishe kidogo. Kasema alikuwa na mpango wa kujizawadia Ferrari na rolls-Royce. Sina budi kuuweka mpango huu kapuni na kuelekeza nguvu zaidi kwenye klabu ya Simba.
Hii kauli mbona inaeleweka tu kuwa kamaanisha kuwa ataweka mzigo mwingine ili kuimarisha kikosi cha Simba.

Hayo ya kufanya mazoezi na kujipost ni kwamba ukiachana na kuwa tajiri, naye ni binadamu anaishi kama wengine na pia ana feelings kama wengine walivyo. Kuna njia nyingi za kuzuia hisia. Wengine wanaamua kumsilimua mtu jambo lililo mkuta ili mradi tu kupunguza jazba. Mwingine anakunywa maji mengi mwingine pombe. Huyu kaamua kufanyia u comedy ili kupunguza panic
 
Ilimshinda singida united akahamia African Lyon akakimbia huyo mjanja mjanja tu

Huyo mjanja mjanja tu kama baba yake ; kama kweli mwanaume aanzishe timu yake na ailee mpaka ivunje ungo kama mwenzie bilinea wa kweli Mzee Bakhressa!!! Mohamed ni tapeli tu hana kitu anawadanganya niye washamba!!
 


Mdosi nae ana mawazo gani tena!! Ashukuru mpaka hapo walipofika, (kufika kwao hapo ni kama final). Timu yenyewe iliyowapa 4G inashika nafasi ya 11 ligi yao. Imedhihirisha timu zetu bado sana ngazi ya kimataifa.


Kombe linaenda Wydad Casablanca kwa akina msuva.. .. semeni oyeeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ’ͺ🏽



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 

Al Ahly anabeba Hii ndoo wakiwapiga Mamelodi Sundowns
 
Uyu jamaa anacheza na akili za mbumbumbu fc, iyo kauli ya kuacha kujizawadia gari ili ai imarishe Simba nikauli ambayo mtu yoyote mwenye akili timamu ata tambua uyu ni mwongo.

Kwani ni asinge iimarisha African lion ambayo aliinunua kwa fedha zake akaiuza kwa Zamunda? Uyu alitarajia Simba waingie nusu fainal auze Mechi ajilipe pesa zake, Sasa amesha kata tamaa kwakua anahisi Simba awa wezi toboa. Kama alivyo wahi fanya Azim mwaka 1993.
 
Mo ni tapeli tu kama anapesa kweli aanzishe team yake kama azam ya mzee said Bakhressa
Kwamba kila tajiri Ili asupport soka ni lazima aanzishe timu yake? Vipi yule tajiri wa Chelsea au yule wa Mamelod?

Muda mwingine muwe mnafikiria kwakutumia akili, na sio vinyeo vyenu.
 
anasubiri another 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…