Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Sasa hiyo Picha uliyoleta hapa kabeba mtoto hapo ndio anaswali?

Waislamu kina Kitenge unawaona wapo Umra kuhiji unadhani January hana pesa ya kwenda Hija Mecca?

Unazijuwa nguzo 5 za Uislamu?
Dr umepuyanga sna hapa imeshindwa kudhibitisha ukiristo wa jamaa Ako makamba bibie Victoire kakubana snaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah unekana Tena wakt wee ndio umechomekeza hbr za makamba Jr kuwa rais ajae

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Itakuwa una makengeza, anza mwanzo wa thread mpaka page hii nioneshe ni wapi nimetetea hawa wahuni na mafisadi.

Mtu anayepigia kura Ccm ana shida kichwani mwake, siyo kwa January tu, ni Ccm wote hawafai ni majizi na wasaliti.
 
Mumewahi kumuona akiingia msikitini?! January mama yake ni mnaswara na jina la January pia linaasili ya nchi za magharibi mwa Dunia. Sasa huo uislamu wa January ni uislamu wa kufikirika.
Acheni kumkataa mtu wenu
 
 
Tokea siku zote ni muislam,ndo hivi karibuni ilisemekana anataka kubadili dini na kuwa mkristo ili aongeze chance ya kuchaguliwa kuwa mgombea urais CCM 2030.
Hahahahah hili pia nilishawahi liwaza

Wagalatia hawatakubali wavaa kobazi waongoze consecutively.

So escape plan janaa ni kufuata dini ya mama yake.
 
Hapo kamaliza kuswali Eid,au ni kwa vile alijua 2025 ni zamu ya Muislam ndo maana akawa Muislam. Sasa 2030 ni zamu ya mkristo anakuwa mkristo tena. Ikitokea Mpango akawa Rais 2026 .January atakuwa Muislam tena. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji115]
 
Kuna mtu alikuwa na nguvu Sana nchi hii kuliko wote na kuna siku aliapa Kikwete hatakuwa Rais....
Ni nani!?

Unaweza tetea hoja Yako kwa ushahidi usio na shaka!?

Isije kuwa ni hadithi za alfu lela ulela!!
 
Kuna mtu alikuwa na nguvu Sana nchi hii kuliko wote na kuna siku aliapa Kikwete hatakuwa Rais....
Angekuwepo Kikwete asingekuwa Rais maana ni miongoni mwa Marais waliotuweka matatizoni Hadi Leo

Hakika huyo mtu aliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…