fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
sio mitaala ni mitalaDini yao inaruhusu mitaala. Walishaoana.
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mitaala ni mitalaDini yao inaruhusu mitaala. Walishaoana.
Makamba naye ni wa kishua usimchukulie poaMakamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
Baba ni Colombia na alipata msiba 2022 nafikiri huko huko Colombia.Mzazi mmoja ndo atakuwa alitoka huko ila kazaliwa hapa na mzazi mmoja WA hapa...
Ninemsoma!!. Ila hapo nyuma Kuna mahala nimeeleza kuwa familia ya makamba uislamu wao ni ule uislamu unaoonekana siku ya Eid , siku ya harusi na siku ya msiba. Ndiyo maana inafika mahala Hadi watu Wanabishana kwa kushindwa kuelewa ni watu wa kundi gani !!.
Waislamu wa aina hii ndio wale wakiulizwa nguzo za uislamu ni ngapi wanakwambia " inategemeana na ukubwa wa msikiti, !! Kama msikiti mdogomdogo nguzo nne zinatosha na kama msikiti ni mkubwa sana basi unaweza kuhitaji Hadi nguzo sitini na Tano na kuendelea.
Ndani ya siku hizi mbili amekuwa akipost jumbe ambazo zimewaweka njia panda wadau wa Soka nchini Tanzania na zote ni kama zinamlenga mtu mmoja tu.
Kwa mliosoma Cuba tutafutieni huyo mwamba anayemnyima usingizi dada yetu.
#solomatv_updates
View attachment 2688996