Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Sasa nikuulize, ndoa ya watu wa dini tafauti inafungishwa kanisani au msikitini!! Kila dini Ina Sheria na taratibu za ndoa ambazo ni tafauti na Sheria na taratibu za dini nyingine, sasa watu wa dini tafauti watafungishwa ndoa kwa Sheria na taratibu za dini ipi?! Ndoa ya kikristo lazima ifungishwe na padri au mchungaji kanisani na ndoa ya kiislamu nayo inataratibu zake ndio maana nikasema hapa Tanzania hakuna ndoa ya muislamu na mgalatia hasa kwa kuzingatia kuwa uislamu kisheria hautambui ndoa ya kiserikali iliyofungishwa nje ya Mila na taratibu za kiislamu.
 
[emoji375] NAKAZIA
 
Makamba ni muislamu tangu lini? Mzee Makamba umewahi kumuona msikitini?

By the way mama yake January Makamba ni Mkristo Mkatoliki, kwahiyo si kwamba anabadili dini Bali kubatizwa na kuishi kwenye imani ya Ukristo.
Siku zote tunamuona akila kiapo kutumia msahafu au wakristo wanakula viapo kwa misahafu siku hizi?

Wagala mna mambo
 
Mwanamke kupata cheo,kazi au pesa bila kutumia Ile kitu ni ngumu sana
Komredi si lazima iwe hivyo mkuu [emoji1787]

Wako wanawake wanaosimama wenyewe kwa "potentialities" zao.... mengine ya kibinadamu yakitokea huwa ni "makubaliano tu" [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…